Seventh-Day Adventist Church

NYALWELA SDA CHURCH Kanisa sahihi kwa malezi ya kiroho

Menu

Home




Karibu kwenye tovuti inayomilikiwa na kuendeshwa na Kanisa la Waadventista Wasabato Igoma chini ya Mchungaji Sabato Marcus, lililo kwenye mtaa wa Swebo Wilayani Rungwe na Konferensi ya Nyanda za Juu Kusini mwa Tanzania. Tovuti hii itakupatia maarifa ya kumjua Mungu na taarifa mbalimbali zitakazokuimarisha kiroho, kijamii, kiuchumi, kiafya, na kiakili. Karibu ushirikiane nasi.